• HABARI MPYA

  Tuesday, February 13, 2018

  HAZARD AFUNGA MAWILI CHELSEA YAITANDIKA WEST BROM 3-0

  Olivier Giroud akimkimbilia mchezaji mwenzake, Eden Hazard kumpongeza baada ya kufunga mabao mawili dakika za 25 na 71 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya West Bromwich Albion usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao la pili la The Blues lilifungwa na Victor Moses dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAZARD AFUNGA MAWILI CHELSEA YAITANDIKA WEST BROM 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top