• HABARI MPYA

  Saturday, February 17, 2018

  GIROUD AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO CHELSEA YAUA 4-0 KOMBE LA FA

  Mshambuliaji Mfaransa Olivier Giroud (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake mpya, Emerson Palmieri baada ya kuifungia Chelsea bao lake la kwanza tangu asajiliwe kutoka Arsenal dakika ya 42 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Hull City usiku wa Ijumaa Uwanja wa Stamford Bridge, London kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora kombe la FA England. Mabao mengine ya The Blues inayotinga Robo Fainali yamefungwa na Willian mawili dakika ya pili na 32 na Pedro dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GIROUD AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO CHELSEA YAUA 4-0 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top