• HABARI MPYA

  Friday, February 16, 2018

  ARSENAL YASHINDA MABAO 3-0 UGENINI EUROPA LEAGUE

  Kikosi cha Arsenal kilichoanza jana katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Ostersunds kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora michuano ya Europa League Uwanja wa Jamtkraft Arena mjini Ostersund. Mabao ya Arsenal itakayokuwa na kazi nyepesi kwenye mchezo wa marudiano nyumbani yamefungwa na Nacho Monreal dakika ya 13, Sotirios Papagiannopoulos aliyejifunga dakika ya 24 na Mesut Ozil dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YASHINDA MABAO 3-0 UGENINI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top