Mshambuliaji wa Yanga, Said Mwamba 'Kizota' (marehemu) akiinua mikono kufurahia bao lililofungwa na mchezaji mwenzake, Edibily Lunyamila katika fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1993 Uwanja wa Nakivubo, Kampala, Uganda dhidi ya wenyeji SC Villa. Yanga ilishinda 2-1 na kutwaa Kombe hilo, bao lingine likifungwa na Kizota mwenyewe, ambalo lilikuwa la kwanza na la kusawazisha siku hiyo baada ya Villa kutangulia
MSANIFU MKONGWE AACHA URITHI WA MAARIFA CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM
-
*Mkuu wa Skuli ya Ubunifu Majengo, Usimamizi na Uchumi Ujenzi wa Chuo Kikuu
Ardhi (ARU), Profesa Livin Mosha akipokea sehemu ya vitabu vya usanifu
majen...
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment