Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, October 29, 2016

  GIROUD, SANCHEZ KILA MMOJA AFUNGA MAWILI ARSENAL YAITANDIKA 4-1 SUNDERLAND

  Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Francis Coquelin baada ya kufunga mabaoi mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Sunderland Uwanja wa Light. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa Alexis Sanchez wakati la Sunderland lilifungwa na Jermain Defoe PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: GIROUD, SANCHEZ KILA MMOJA AFUNGA MAWILI ARSENAL YAITANDIKA 4-1 SUNDERLAND Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top