Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Tuesday, October 25, 2016

  SIMBA WALIVYOPAA KWA NDEGE LEO KUIFUATA MWADUI

  Wachezaji wa Simba SC wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwa ajili ya safari Mwanza kwenda kuunganisha usafiri wa barabara kwenda Shinyanga kucheza na Mwadui FC mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Kambarage

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SIMBA WALIVYOPAA KWA NDEGE LEO KUIFUATA MWADUI Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top