Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, October 27, 2016

  CHELSEA YAPIGWA NYUNDO MBILI NA WEST HAM


  Beki mkongwe wa Chelsea, John Terry akipambana na wachezaji wa West Ham usiku wa Jumatano katika mchezo wa Ligi England Uwanja wa London. West Ham ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Cheikhou Kouyate na Edimilson Fernandes, wakati la Chelsea lilifungwa na Gary Cahill  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: CHELSEA YAPIGWA NYUNDO MBILI NA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top