• HABARI MPYA

  Saturday, October 22, 2016

  LIVERPOOL YAWAPASUA 2-1 WEST BROM ENGLAND

  Mshambuliaji Sadio Mane akiunganisha pasi ya Roberto Firmino kuifungia Liverpool bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Bromwich Albion leo Uwanja Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Philippe Coutinho, wakati la wageni lilifungwa na Gareth McAuley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAWAPASUA 2-1 WEST BROM ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top