Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, October 23, 2016

  CHELSEA YAWAFANYA KITU MBAYA MAN UNITED NA MOURINHO

  Wachezaji wa Chelsea wakisherehekea ushindi wa 4-0 dhidi ya Manchester United, timu ya kocha wao wa zamani, Jose Mourinho leo katika Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya kwanza, Gary Cahill dakika ya 21, Eden Hazard dakika ya 62 na N'Golo Kante dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: CHELSEA YAWAFANYA KITU MBAYA MAN UNITED NA MOURINHO Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top