Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, October 23, 2016

  KELECHI IHEANACHO AINUSURU MAN CITY KULALA NYUMBANI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Kelechi Iheanacho akiifungia Manchester City bao la kusawazisha dakika ya 55 katika sare ya 1-1 na Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Etihad. Bao la Southampton lilifungwa na  Nathan Redmond dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: KELECHI IHEANACHO AINUSURU MAN CITY KULALA NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top