Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akishangilia kwa hisia kali mbele ya mashabiki wa Valencia baada ya kufunga bao la tatu kwa penalti ya sekunde ya mwisho katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji wao hao Uwanja wa Mestalla. Messi ndiye aliyefunga bao la kwanza, ingawa Luis Suarez alionekana kuwa amezidi na bao lingine la Barca lilifungwa na Suarez huku ya Valencia yakifungwa na Munir na Rodrigo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
52 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment