Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Monday, October 24, 2016

  REAL MADRID YAICHAPA BILBAO 2-1 LA LIGA

  Cristiano Ronaldo wa Real Madrid akimtoka Aymeric Laporte wa Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa Santiago Bernabeu. Real ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Karim Benzema na Alvaro Morata, wakati la Bilbao lilifungwa na Sabin Merino PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: REAL MADRID YAICHAPA BILBAO 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top