• HABARI MPYA

  Thursday, October 20, 2016

  MESSI AWADHURU MAN CITY NA GUARDIOLA, AWAPIGA TATU KATIKA 4-0

  Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 4-0 wa Barcelona dhidi ya Manchester City usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Camp Nou. Bao lingine la Barca lilifungwa na Neymar ambaye pia alikosa penalti kwenye mchezo huo ambao wachezaji wawili walitolewa kwa kadi nyekundu, kipa wa Man City Claudio Bravo dakika ya 53 kwa kudakia nje ya boksi na Jeremy Mathieu wa Barcelona baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AWADHURU MAN CITY NA GUARDIOLA, AWAPIGA TATU KATIKA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top