• HABARI MPYA

  Friday, June 10, 2016

  WAZIMU WA SUAREZ WAPANDA TENA URUGUAY IKITANDIKWA 1-0 COPA AMERICA

  Mshambuliaji Luis Suarez akipiga nje uzio wa benchi la wachezaji wa akina kwa hasira baada ya Uruguay kuruhusu bao ikilala 1-0 mbele ya Venezuela bao pekee la Salomon Rondon katika mchezo wa Copa America Alfajiri ya leo Uwanja wa Lincoln Financial Field mjini Philadelphia, Marekani. Venezuela imetinga Robo Fainali kwa ushindi huo PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIMU WA SUAREZ WAPANDA TENA URUGUAY IKITANDIKWA 1-0 COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top