Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Monday, June 27, 2016

  SERENGETI BOYS NA SHELISHELI KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Beki wa Shelisheli, Mathiew Bassot (kushoto) akiutelezea mpira miguuni mwa beki wa Tanzania, Nickson Clement Kibabage katika mchezo wa kwanza Raundi ya Kwanza kuwania tiketi ya Fainali za Vijana Afrika mwakani nchini Madagascar. Tanzania, maarufu kama Serengeti Boys ilishinda 3-0
  Mathiew Bassot akiutelezea mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Tanzania, Rashid Mohamed Chambo (kulia)
  Kiungo wa Tanzania, Kelvin Nashon Naftali akiwachambua wachezajia wa Shesheli
  Beki wa Serengeti Boys, Israel Patrcik Mwenda akimtoka mchezaji wa Shelisheli
  Kiungo wa Tanzania, Asad Ali Juma akiwatoka wachezaji wa Shesheli
  Mshambuliaji wa Tanzania, Ibrahim Abdallah Ali akimtoka beki wa Shelisheli Brandon Tancustte
  Nickson Clement Kibabage wa Tanzania (kulia) akimtoka Darren Dolley wa Shelisheli (kushoto)
  Nickson Clement Kibabage wa Tanzania (kulia) akimtoka Darren Dolley wa Shelisheli (kushoto)
  Kikosi cha Shelisheli kilichoanza dhidi ya Tanzania jana
  Kikosi cha Tanzania kilichoanza dhidi ya Shelisheli jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA SHELISHELI KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top