• HABARI MPYA

  Thursday, June 23, 2016

  DIDA ANAVYOJIFUA GYM UTURUKI KWA AJILI YA MAZEMBE

  Kipa wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' akifanya mazoezi ya kukuza misuli katika gym mjini Antalya, Uturuki ambako klabu yake imeweka kambi kujiandaa na mchezo wa pili wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika Jumanne ijayo dhidi ya TP Mazembe ya DRC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIDA ANAVYOJIFUA GYM UTURUKI KWA AJILI YA MAZEMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top