Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, June 26, 2016

  GRIEZMANN AIPELEKA UFARANSA ROBO FAINALI EURO 2016

  Mshambuliaji Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili dakika za 57 na 61 Ufaransa ikishinda 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Ireland katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 jioni ya leo Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais mjini Decines-Charpieu. Ireland ilitangulia kwa bao la Robbie Brady dakika ya pili tu ya mchezo na Ufaransa inakwenda Robo Fainali  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: GRIEZMANN AIPELEKA UFARANSA ROBO FAINALI EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top