• HABARI MPYA

  Friday, June 10, 2016

  AZAM TV WAMBEBA RITA POULSEN, SASA LIVE AZAM 2 KILA JUMAPILI

  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Azam TV, Tido Dunstan Mhando (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari sutdio za kampuni hiyo, Tabata mjini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa kipindi cha Rita Poulsen Show. Kulia ni mmiliki wa kipindi cha hicho, Rita Poulsen  
  Kutoka kulia ni Tido Mhando, Rita Poulsen na Mkuu wa Idara ya Masoko ua Azam Media Limited, Mgope Kiwanga
  Wakubwa wakifuatilia sehemu ya Rita Poulsen Show wakati ilipoonyeshwa kwa uchache kwenye utambulisho kwa Waandishi wa Habari. Kipindi hicho kitakuwa kikionyeshwa kila Jumapili kaunzia wiki hii Saa 1:00 usiku
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM TV WAMBEBA RITA POULSEN, SASA LIVE AZAM 2 KILA JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top