• HABARI MPYA

  Monday, June 27, 2016

  UBELGIJI YAIFUMUA 4-0 HUNGARY NA KWENDA ROBO FAINALI EURO 2016

  Mshambuliaji wa Ubelgiji, Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Hungary kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 Uwanja wa Manisipaa mjini Toulouse, Ufaransa. Mabao mengine ya Ubelgiji yamefungwa na Toby Alderweireld, Michy Batshuayi naYannick Carrasco na Ubelgiji inakwenda Robo Fainali ambako itakutana na Wales  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UBELGIJI YAIFUMUA 4-0 HUNGARY NA KWENDA ROBO FAINALI EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top