Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Monday, June 27, 2016

  NI CHILE TENA MABINGWA COPA AMERICA 2016, PENALTI YA MESSI YAPOTEZA MWELEKEO

  Kipa wa Chile, Claudio Bravo akiinua Kombe la Copa America Centenario baada ya kulitwaa usiku wa kuamkia leo kwa kuifunga Argentina kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 Uwanja wa MetLife, East Rutherford mjini New Jersey, Marekani. Mwanasoka bora wa dunia, Lionel Messi alikosa penalti ya kwanza ya Argentina sawa na Lucas Biglia aliyekosa ya nne. Waliofunga penalti za Argentina ni Javier Mascherano na Sergio Aguero wakati za Chile zilifungwa na N. Castillo, C. Aránguiz, J. BeausejourF. Silva huku  A. Vidal akikosa ya kwanza tena  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: NI CHILE TENA MABINGWA COPA AMERICA 2016, PENALTI YA MESSI YAPOTEZA MWELEKEO Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top