Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, June 23, 2016

  MBEYA CITY NA BIN SLUM WALIVYOIONGEZEA MAISHA NDOA YAO LEO DAR

  Naibu Mkurugenzi wa Bin Slum Tyres Limited, Mohammed Bin Slum (wa pili kulia) akimkabidhi jezi Meya wa Manispaa ya Mbeya, David Polela Mwashilindi (kushoto) baada ya kusaini Mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuidhamini Mbeya City FC leo mjini Dar es Salaam. Wengine kulia ni Salim Al Jabry, Ofisa wa Bin Slum Tyres na Emmanuel Kimbe (wa pili kushoto), Katibu wa Mbeya City  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MBEYA CITY NA BIN SLUM WALIVYOIONGEZEA MAISHA NDOA YAO LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top