Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, June 25, 2016

  SHAQIRI AFUNGA BONGE LA BAO, LAKINI USWISI YATOLEWA KWA MATUTA EURO 2016

  Xherdan Shaqiri akibinuka tik tak kuisawazishia Uswisi katika sare ya 1-1 na Polanda kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Euro 2016 Uwanja wa Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne, Ufaransa. Bao la kutangulia la Poland iliyoshinda kwa penalti 5-4 baadaye, limefungwa na Jakub Blaszczykowski. Poland sasa itacheza na mshindi kati ya Croatia na Ureno katika Robo Fainali Alhamisi Uwanja wa Stade Velodrome mjini Marseille PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SHAQIRI AFUNGA BONGE LA BAO, LAKINI USWISI YATOLEWA KWA MATUTA EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top