• HABARI MPYA

    Saturday, June 25, 2016

    JOSHUA ULINGONI NA DOMINIC BRAZEALE LONDON

    Bondia Anthony Joshua (kushoto) akitunishiana misuli na Dominic Brazeale (kulia) wakati wa kupima uzito Covent Garden Ijumaa kuelekea pambano la ubingwa wa dunia wa IBF uzito wa juu Jumamosi ukumbi wa O2 Arena (Millenium Dome), Greenwich, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOSHUA ULINGONI NA DOMINIC BRAZEALE LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top