• HABARI MPYA

  Saturday, June 11, 2016

  USWISI YAIKALISHA ALBANIA EURO 2016

  Kipa wa Albania, Etrit Berisha akijaribu bila mafanikio kuokoa krosi dhidi ya Fabian Schar anayeifungia Uswisi bao pekee katika ushindi wa 1-0 leo kwenye mchezo wa Kundi A Euro 2016 leo Uwanja wa Stade Bollaert-Delelis mjini Lens, Ufaransa  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: USWISI YAIKALISHA ALBANIA EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top