
Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Wales katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa Kundi B Euro 2016 dhidi ya Slovakia leo Uwanja wa Stade Matmut-Atlantique mjini Bordeaux. Bao lingine la Wales limefungwa na Hal Robson-Kanu, baada ya Ondrej Duda kuisawazishia Slovakia PICHA ZAIDI GONGA HAPA


.png)
0 comments:
Post a Comment