Dimitri Payet akikimbia kushangilia na Olivier Giroud baada ya kuifungia Ufaransa bao la ushindi dakika ya 89 ikiilaza 2-1 Romania katika mchezo wa ufunguzi wa Euro 2016 Uwanja wa Stade de France mjini Paris, Ufaransa. Bao lingine la Ufaransa katika mchezo huo wa Kundi A, lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 57, wakati la Romania lilifungwa na Bogdan Stancu kwa penalti dakika ya 25, baada ya Patrice Evra kumchezea rafu Nicolae Stanciu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CHANJO YA KUKINGA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI HAIATHIRI UWEZO WA BINTI-HINCHA
-
*Na Mwamvua Mwinyi, Pwani*
*MRATIBU wa chanjo Mkoa wa Pwani, Abbas Hincha amesema, jumla ya watoto wa
kike 18,823 waliopo shule na nje ya shule mkoani hap...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment