• HABARI MPYA

  Saturday, June 11, 2016

  KABLA YA SOKA, KWANZA NI NDONDI EURO 2016 UFARANSA

  Mashabiki wa England wakipigana waliopo Ufaransa kuishangilia timu yao kwenye michuano ya Euro 2016 na mashabiki wa Ufaransa katika vurugu mitaa ya Old Port Jiji la Marseille, baada ya kulewa. Vurugu hizo ziliwahusisha mashabiki wa Urusi pia  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KABLA YA SOKA, KWANZA NI NDONDI EURO 2016 UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top