Nyota wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic akipongezana na wachezaji wenzake, John Guidetti na Kim Kallstrom baada ya timu yao kupata bao la kusawazisha lililofungwa na Ciaran-Clarkis aliyejifunga katika sare ya 1-1, kufuatia Wes Hoolahan kuanza kuifungia Jamhuri ya Ireland Uwanja wa Stade de France mjini Paris, Ufaransa katika mchezo wa Kundi E Euro 2016 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, June 13, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment