• HABARI MPYA

  Tuesday, June 14, 2016

  ITALIA YAANZA VYEMA EURO 2016, YAIPIGA 2-0 UBELGIJI

  Graziano Pelle akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Italia bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ubelgiji Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais mjini Decines-Charpieu, Ufaransa kwenye mchezo wa Kundi E Euro 2016. Bao lingine la Italia limefungwa na Emanuele Giaccherini  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA YAANZA VYEMA EURO 2016, YAIPIGA 2-0 UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top