• HABARI MPYA

  Saturday, June 11, 2016

  SAFARI YA MWISHO YA MFALME WA MASUMBWI MUHAMMAD ALI

  Umati wa watu uliojitokeza katika safari ya mazishi ya bondia gwiji duniani, Muhammad Ali jana aliyefariki dunia akiwa ana umri wa miaka 74 baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson kwa miaka 32 ukipita eneo la Louisville, Marekani  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAFARI YA MWISHO YA MFALME WA MASUMBWI MUHAMMAD ALI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top