• HABARI MPYA

  Monday, June 13, 2016

  BRAZIL YANG'OLEWA MAPEMAAA COPA AMERICA, YAPIGWA 1-0 NA PERU

  Raul Ruidiaz akiifungia Peru bao pekee katika uahindi wa 1-0 dhidi ya Brazil kwenye mchezo wa Copa America Alfajiri ya leo Uwanja wa Gillette mjini Foxborough, Massachusetts, Marekani. Peru inakwenda hatua ya mtoano, wakati Brazil inaaga mapema michuano hiyo  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRAZIL YANG'OLEWA MAPEMAAA COPA AMERICA, YAPIGWA 1-0 NA PERU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top