• HABARI MPYA

  Monday, March 14, 2016

  YANGA SC WALIVYOWASILI 'KISELA' DAR BAADA YA KUIPIGA APR 2-1 KWAO

  Mabeki wa Yanga, Kevin Yondan na Juma Abdul (kulia) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam usiku wa Jumapili kutoka Rwanda, ambako Jumamosi waliwafunga wenyeji APR mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika PICHA NA BOIPLUS BLOG
  Kipa Ally Mustafa 'Barthez' kulia na kiungo Haruna Niyonzima (kushoto) 
  Beki Mwinyi Mngwali (kulia) na mshambuliaji Donald Ngoma (kushoto)
  Mwinyi Mngwali akiondoka Uwanja wa Ndege baada ya kuwasili 
  Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van der Pluijm akiondoka taratibu baada ya kurejea na furaha ya ushindi
  Kiungo Thabani Kamusoko (kulia) na beki Vincent Bossoi (kushoto)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOWASILI 'KISELA' DAR BAADA YA KUIPIGA APR 2-1 KWAO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top