• HABARI MPYA

  Tuesday, March 15, 2016

  WAYA! MAMBO YA SHINJI OKAZAKI, LEICESTER MATAWI YA JUU!

  Kipa wa Newcastle United, Rob Elliot akiutumbulia macho mpira ukitinga nyavuni baada ya pigo la tik tak la mshambuliaji wa kimataifa wa Japan, Shinji Okazaki kuipatia Leicester City bao pekee la ushindi dakika ya 25 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa King Power. Ushindi huo katika mechi ya 30 ya ligi msimu huu, unaifanya Leicester ifikishe pointi 63, ikiwazidi kwa pointi tano Tottenham Hotspur walio nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAYA! MAMBO YA SHINJI OKAZAKI, LEICESTER MATAWI YA JUU! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top