• HABARI MPYA

    Friday, August 09, 2019

    NINJA WA YANGA SC ATUA MAREKANI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA TIMU YA IBRAHIMOVIC

    Aliyekuwa beki wa Yanga SC, Abdallah Shaibu 'Ninja' akiwa ameshika jezi ya klabu ya LA Galaxy Uwanja wa Dignity Health Sports Park Carson mjini California baada ya kuwasili kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo inayocheza Ligi Kuu ya Marekani  
    Akisajiliwa na timu hiyo, Shaibu ataungana na mshambuliaji wa zamani wa Barcelona na AC Milan, Inter Milan, Zlatan Ibrahimovic

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NINJA WA YANGA SC ATUA MAREKANI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA TIMU YA IBRAHIMOVIC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top