Mshambuliaji mpya, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 41 na 50, Barcelona ikiibuka na ushindi wa 5-2 dhidi ya Real Betis kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Carles Perez dakika ya 56, Jordi Alba dakika ya 60 na Arturo Vidal dakika ya 77, wakati ya Betis yamefungwa na Nabil Fekir dakika ya 15 na Loren Moron dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
LeBron James Reacts to Kelly Loeffler Selling WNBA Team to Renee Montgomery
-
Los Angeles Lakers superstar LeBron James reacted to further details about
former Atlanta Dream player Renee Montgomery joining an ownership group to
purch...
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment