Anthony Yarde akiwa chini baada ya kuangushwa na Sergey Kovalev raundi ya 11 katika pambano la ubingwa wa dunia usiku wa jana ukumbi wa Traktor Sport Palace, Chelyabinsk nchini Urusi. Kovalev alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya 11 na kufanikiwa kutetea taji lake la WBO uzito wa Light Heavy PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
52 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment