• HABARI MPYA

    Saturday, August 17, 2019

    BARCA YAANZA VIBAYA LA LIGA, YACHAPWA 1-0 NA BILBAO

    Mshambuliaji mkongwe, Aritz Aduriz akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Athletic Bilbao dakika ya 89 kufuatia kutokea benchi dakika ya 88 kuchukua nafasi ya Williams na kuiwezesha timu yake kuichapa 1-0 Barcelona katika mchezo wa ufunguzi wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa San Mames Barria mjini Bilbao 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCA YAANZA VIBAYA LA LIGA, YACHAPWA 1-0 NA BILBAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top