Mshambuliaji Sadio Mane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 37 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Burnley leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Turf Moor huo ukiwa ushindi wa 13 mfululizo kwenye ligi hiyo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Chris Wood aliyejifunga dakika ya 33 akijaribu kuokoa krosi ya Trent Alexander-Arnold na Roberto Firmino dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment