Mshambuliaji Mohamed Salah akiifungia Liverpool bao la pili dakika ya 19 baada ya Grant Hanley kujifunga dakika ya saba katika harakati za kuokoa krosi ya Divock Origi kuwapatia Wekundu hao bao la kuongoza katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Norwich City kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Virgil van Dijk dakika ya 28 na Origi dakika ya 42, wakati la Norwich City iliyorejea Ligi Kuu msimu huu lilifungwa na Teemu Pukki dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rangers 3-0 St Mirren: Steven Gerrard's side are now just ONE POINT from the Scottish title
-
GRAEME CROSER AT IBROX: It's now close enough to touch. From the way
Gerrard's players celebrated, there was a public acknowledgment that ten
years of pain...
3 minutes ago
0 comments:
Post a Comment