Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 12 akimalizia krosi ya winga Gareth Bale katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Abanca-Balaidos mjini Vigo. Mabao mengine ya Real Madrid yamefungwa na Toni Kroos dakika ya 61 na Lucas Vazquez dakika ya 80, wakati la kufutia machozi la Celta Vigo limefungwa na Iker Losada dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Covid-19 vaccination: No side effects reported so far
-
By the end of business on the first day of Covid-19 vaccination in Rwanda a
total of 75,056 people had been vaccinated, and so far, according to the
Rwan...
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment