• HABARI MPYA

  Saturday, August 17, 2019

  AUBAMEYANG AFUNGA LA USHINDI ARSENAL YAICHAPA BURNLEY 2-1

  Pierre-Emerick Aubameyang akiwanyooshea kidole mashabiki kufurahi nao baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 64 ikiilaza Burnley 2-1 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 13, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 43 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG AFUNGA LA USHINDI ARSENAL YAICHAPA BURNLEY 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top