Gabriel Jesus akimlalamikia refa Michael Oliver baada ya kukataa bao lake la dakika ya mwisho, Manchester City ikilazimishwa sare ya 2-2 na Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Oliver alikataa bao hilo baada ya kutazama marudio ya picha za video (VAR) katika mchezo huo ambao mabao ya Man City yalifungwa na Raheem Sterling dakika ya 20 na Sergio Aguero dakika ya 35 na ya Spurs yalifungwa na Erik Lamela dakika ya 23 na Lucas Moura dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
56 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment