• HABARI MPYA

  Sunday, August 04, 2019

  MANCHESTER UNITED WAIGONGA AC MILAN KWA MATUTA CARDIFF

  Wachezaji wa Manchester United wakimpongeza Daniel James baada ya kufunga penalti ya ushindi wakiilaza AC Milan kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 Uwanja wa Principality mjini Cardiff. Mabao ya Man United yalifungwa na Marcus Rashford dakika ya 14 na Jesse Lingard dakika ya 72, wakati ya Milan yalifungwa na Suso dakika ya 26 na Victor Lindelof aliyejifunga dakika ya 60. Penalti za Man United ziliufngwa na Lingard,  Ashley Young, Mason Greenwood, Mason Gomes na Daniel James wakati za Milan zilifungwa na Hakan Calhanoglu, Giacomo Bonaventura, Andre Silva, Rade Krunic, huku Daniel Maldini pekee akikosa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED WAIGONGA AC MILAN KWA MATUTA CARDIFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top