• HABARI MPYA

    Sunday, August 04, 2019

    BORUSSIA DORTMUND WAIPIGA BAYERN MUNICH 2-0 NA KUBEBA SUPER CUP

    Wachezaji wa Borussia Dortmund wakisherehekea na taji lao la Super Cup ya Ujerumani baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Bayern Munich mabao ya Paco Alcacer dakika ya 48 na Jadon Sancho dakika ya 69 Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BORUSSIA DORTMUND WAIPIGA BAYERN MUNICH 2-0 NA KUBEBA SUPER CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top