• HABARI MPYA

  Friday, April 12, 2019

  ARSENAL YATANGULIZA MGUU MMOJA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE

  Kiungo Aaron Ramsey akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 15 kabla ya mpira uliopigwa na Lucas Torreira kumbabatiza beki Kalidou Koulibaly aliyejifunga dakika ya 25 kuipa timu hiyo bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Napoli kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London na timu hizo zitarudiana Aprili 18 Uwanja wa San Paolo mjini Napoli 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YATANGULIZA MGUU MMOJA NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top