• HABARI MPYA

  Saturday, March 03, 2018

  MANE NA SALAH WOTE WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE 2-0

  Mshambuliaji Msenegali, Sadio Mane (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 55 ambalo linakuwa bao lake la 14 msimu huu katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United leo Uwanja wa Anfield, bao la kwanza likifungwa na Mmisri, Mohamed Salah dakika ya 40, ambalo naye linakuwa bao lake la 32 katika msimu wake wa kwanza kwenye timu hiyo tangu awasili kutoka Roma ya Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE NA SALAH WOTE WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA NEWCASTLE 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top