• HABARI MPYA

  Monday, May 22, 2017

  YANGA WALIVYOREJEA DAR NA KOMBE LAO LA UBINGWA WA LIGI KUU

  Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akiwa ameinua Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam baada ya kuwasili kutoka Mwanza ambako jana walicheza mechi yao ya mwisho ya ligi hiyo na kufungwa 1-0 na wenyeji, Mbao FC
  Wachezaji wa Yanga, Hassan Kessy na Deo Munishi 'Dida' wakipiga picha na mashabiki
  Sherehe za ubingwa wa Yanga kuelekea makao makuu ya klabu, Jangwani
  Wachezaji wakifurahia na mashabiki wao
  Shabiki wa kike akiusindikiza msafara kwa bajaji
  Wachezaji wa Yanga wakifurahia kwenye gari

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOREJEA DAR NA KOMBE LAO LA UBINGWA WA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top