• HABARI MPYA

  Monday, May 22, 2017

  RONALDO NA BENZEMA WAFUNGA, REAL MADRID MABINGWA LA LIGA

  Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa Hispania kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Malaga leo Uwanja wa La Rosaleda mjini Malaga katika mchezo wa mwisho wa La Liga. Mabao ya Real Madrid ambayo wiki ijayo itamenyana na Juventus katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yamefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya pili na Karim Benzema dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO NA BENZEMA WAFUNGA, REAL MADRID MABINGWA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top