• HABARI MPYA

  Monday, May 22, 2017

  SERENGETI BOYS NA NIGER KATIKA PICHA JANA PORT GENTIL

  Mshambuliaji wa Tanzania, Kevin Nashon Naftali akimtoka beki wa Niger, Habibou Soufiane katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 Uwanja wa Port Gentil mjini Port Gentil jana. Niger ilishinda 1-0 
  Beki wa Serengeti Boys, Nickson Kibabage akimpita kwa chenga nzuri beki wa Niger,  
  Ally Msengi wa Serengeti Boys akimtoka Habibou Soufiane wa Niger
  Abdul Suleiman wa Tanzania akiwania mpira dhidi ya Habibou Soufiane wa Niger 
  Ibrahim Ali wa Serengeti Boys akimtoka mchezaji wa Niger
  Asad Ali wa Serengeti Boys (kushoto) akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Niger  
  Asad Ali wa Serengeti Boys akiweka mpira vizuri apige kona 
  Abdul Suleiman akipiga shuti la mbali jana
  Kocha Bakari Shime akipaza sauti kuzungumza na wachezaji wake jana
  Kikosi kilichoanza cha Serengeti Boys jana
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA NIGER KATIKA PICHA JANA PORT GENTIL Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top