• HABARI MPYA

  Sunday, May 21, 2017

  MAN UNITED YAMALIZA LIGI NA USHINDI WA 2-0 NYUMBANI

  Kinda Josh Harrop akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester United dakika ya 15 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace Uwanja wa Old Trafford leo kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England. Bao la pili la United limefungwa na Paul Pogba dakika ya 19 na United imemaliza nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAMALIZA LIGI NA USHINDI WA 2-0 NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top